Plot for sale at Chanika, Dar Es Salaam


KIWANJA KINAUZWA 28 MILIONI CHANIKA
Features...
Square meters 1000
Kimezungushiwa uzio chote
Kipo kwenye mtaa mashuhuri
Umeme upo, maji yapo
Barabara nzuri inafikika majira yote
Huduma za jamii zote zinapatikana
Kipo Chanika Nguvu kazi Ilala Dar es Salaam
Call/WhatsApp 0713066000 0753066000
Bei 28,000,000 bei nzuri kabisa
Site Visiting Fee 20K..