Plot for sale at Goba, Dar Es Salaam


KIWANJA KIKO GOBA KWA ULOMI
◾️Ukubwa wa kiwanja sqm 850
◾️Umbali ni mita 900 kutokea barabara ya lami(goba road)
💰 Bei Tsh mil 50
◾️Kiwanja kiko kwenye makazi mazuri yaliopangilika vizuri
◾️Ni kiwanja cha mbele ya barabara ya mtaa hivyo kinafaa kwa makazi na biashara pia
📞0765101995