Plot for sale at Goba, Dar Es Salaam
NYUMBA NZURI SANA INAUZWA
LOCATION: GOBA CRDB - DAR ES SALAM TANZANIA
Ina Vyumba Vinne kimoja Master, Dinning, Sitting, Kitchen & Public Toilet
Umiliki: Mauziano Ya Serikali Ya Mtaa (Eneo Limerasimishwa Tayari)
Ukubwa Wa Eneo: SQM 900
Maji Ya Dawasco Na Umeme Vyote Vipo
Nyumba Iko Mtaa Mzuri Umejengeka Vizuri
Bei : 190 Million
UMILIKI NI HATI MILIKI
Gharama Za Kwenda Site Ni Tshs 30,000/=