Plot for sale at Goba, Dar Es Salaam


Eneo limegusa lami linauzwa pamoja na nyumba
Mahali: Daressalaam. Goba Mwanzoni kutoka Mbezi Beach Masana.KONTENA. Limegusa lami
■ Ukubwa wa kiwanja: SQM 500
■ Nyaraka: Sales agreement, Hati ya mauziano Serikali ya mtaa
■ Maelezo
□ Eneo limegusa lami
□ Zuri sana kwa uwekezaji wa mradi mkubwa wa biashara
□ Eneo lipo tambalale
■ Bei: TZS 110 Million (Maongezi yapo)
■ Kuona kiwanja 30,000/=
■ PANGA MUDA WAKO, KUJA KUONA
■ Mawasiliano 0625584914