Plot for sale at Goba, Dar Es Salaam


Kiwanja kizuri sana kiwanja kipo goba Mtaa wa tegeta A kwa posoa kiwanja kina ukubwa wa Square
Meters 700 bei milioni 30 maongezi 🇹🇿 kidogo
kiwanja kipo tambalale kabisa mazingira mazuri sana ndugu mteja njoo ujipatie kiwanja hapa
kwamaelezo 🇹🇿 zaidi nipigie ☎️✔️ service charge 50k mbaka unapata kiwanja kalibuni sana
0745559598