Plot for sale at Goba, Dar Es Salaam


✅ Kiwanja kinauzwaa, kipo GOBA KWA AWARDHI
✅ Ukubwa square meter 500
✅ Kiwanja kimezungushiwa fensi pande tatu bado upande mmoja wa mbele.
✅ Kiwanja kipo umbali wa Mita 200 kutoka lami na kimeshika barabara kubwa ya mtaa.
✅ Bei million 60 Maongezi yapo
✅ Service charge 20000
Piga 0719190753