Plot for sale at Goba, Dar Es Salaam


Eneo linauzwa
Mahali: Daressalaam. Goba Mwanzoni kutoka Mbezi Beach Masana. KWA ULOMI. Mita 800 kutoka lami.
■ Ukubwa wa kiwanja: SQM 3000 (Tunakata na kiwanja pia hadi SQM 1000 kushuka)
■ Nyaraka: Hati miliki inatoka kwa jina la mteja
■ Maelezo
□ Kiwanja kimepimwa
□ Barabara ya gari ni nzuri sana
□ Eneo zuri sana linafaa kwa makazi na uwekezaji pia
□ Mtaa mzuri, umejengeka vizuri.
■ Bei: TZS 150 Million (Maongezi yapo)
■ Kuona kiwanja 30,000/=
■ PANGA MUDA WAKO, KUJA KUONA
■ Mawasiliano 0625584914