Plot for sale at Goba, Dar Es Salaam
Kiwanja kizuri sana kinauzwa:
Kiwanja kipo barabara kubwa ya mtaa na mtaa ni mzuri sana
Ukubwa-sqm 900
Umiliki- Hati miliki
Bei-ml 120 maongezi
Location- goba kulangwa
Umbali-km 1 kutoka main road deez pub
Karibuni
Call/whatsapp 0745488000