Plot for sale at Goba, Dar Es Salaam
Kiwanja kinauzwa Goba Lastanza.
Kutoka lami mita 300
Ukubwa wa kiwanja ni sqm 2000
Pamepimwa, hati miliki bado.
Ni kizuri kwajili ya makazi.
Mtaa mzuri sana, umetulia
Bei: 220Million
Piga; 0754 587 611
; 0718 950 277
Karibuni sana.
Office Location📍; Goba, Makongo road.