Plot for sale at Goba, Dar Es Salaam


JUMBA LA KIFAHARI LINAUZWA . Nyumba inauzwa ipo goba kwa Awadhi imekamilika ina Vyumba Vitano vyote master ina finishing safi, imefugwa cctv camera kila chumba kina air-condition ina maji, ina kisima cha kuchimba ina nyumba ndogo ya nyuma fensi,ina umeme.Kiwanja kina Square meter 1500 kina hati ya kisasa bei inaazia 650ml karibu njoo tuzungumze.
Contact
0625584914