Plot for sale at Goba, Dar Es Salaam
KIWANJA KINAUZWA KIZULI SANA
KIPO GOBA MWANZONI KUTOKEA MBEZI BEACH MASANA,.KITUO CHA 4 KUTOKEA MASANA ROADS UKIELEKEA GOBA
KINA UKUBWA WA SQMT 420
BEI MILION 110
KIPO KARIBU KABSA NA LAMI YA GOBA
KWA MAELEKEZO ZAIDI PGA SIM
📲 0682 402 327 📶
📲 0653 267 999 📶 ya WhatsApp