Plot for sale at Goba, Dar Es Salaam


Nyumba 4 za Apartments ndani ya fensi Moja zinauzwa. Zote zina wapangaji kila mmoja analipia laki 4 kwa mwezi (jumla kodi zote unakusanya tsh 1,600,000/=kila mwezi)
—
*BEI zinauzwa Tshs mil 300 (tsh milioni mia tatu tu ) #maongezi_yapo
—
Ukubwa wa Kiwanja SQM 840. Kina hati miliki
—
Location: zipo Goba jirani na Makongo. Umbali wa Meter 700 Toka Barabara ya Lami ya goba-makongo juu
—
Details:
Kila Appartment Ina vyumba 2 vya kulala ambavyo
ni self contained, Sebule, Jiko na public toilet.
Nyumba zote zina wapangaji na wanalipa 400,000/= kwa mwezi kila mmoja
Nipigie simu 0712322054