Plot for sale at Goba, Dar Es Salaam


Plot, yenye Ukubwa wa square meters 1250
Ipo goba njia nne
Plot ipo Umbali wa mita 300 kutoka lami
Plot imepimwa na Plot number ipo bado tu process ya kumalizia kupata Hati.
Bei 135M maongezi yapo
Piga 0719190753