Plot for sale at Goba, Dar Es Salaam


TSHS 200/ STAND ALONE . INAUZWA-DAR-ES-SALAAM Tz
MAHALI- GOBA NJIA NNE NEAR KULANGWA
_____________________
UKUBWA WA ENEO LAKE SQM 535
__________________
NYUMBA NI MPYAAA๐ฏ
________________
NYUMBA MPYA YA KISASA
____________
YA FAMILIA KUBWA
_________
INAJITEGEMEA
___________
YENYE;-
Vyumba Vinne vya kulala 3Master, Sebule, Dinning Jiko, Choo/Bafu vya public
Gypsum Tiles Slides Windows
Umeme x Maji vyote vipo
Cars Parking space ipo
Nje Pavingblocks
Fencedhouse
_________
____
#NB;-NYUMBA NZURI SANA KWA FAMILIA YAKO MTAA MZURI HAINA MGOGORO, KESI, SIO YA URITHI MWENYEWE MZIMA WA AFYA TUNAPUMUA NAYE HAYUPO ICU NI KUNUNUA NAKUHAMIA HAPO HAPO WAZUNGU WANASEMA IMMEDIATELY! ๐ค
____
BEI INAUZWA TSHS ML 200
Maongezi yapo
__
NYUMBA IPO MTAA MZURI SANA
_
KWA MAELEZO ZAIDI TUPIGIE;