Plot for sale at Goba, Dar Es Salaam


NYUMBA YA GHOROFA INAUZWA BINAFSI GOBA NJIA NNE (UBUNGO MUNICIPALITY )
Ina Vyumba Vitano (5) Ya Juu Vitatu Na Chini Viwil,Dinning,Sitting,Kitchen&Public Toilet
Hati Safi
Ukubwa Wa Eneo : SQM 3,500
Sio Mbali Kutoka Barabara Kuu Ya Lami
Kuna Visima Viwili Vya Maji Safi
Bei : 650 Million inapungua
Gharama Za Kwenda Site Ni Tshs 20,000/=
#0764624285