Plot for sale at Goba, Dar Es Salaam


Kwanini hujengi.? Je Tatizo ni kiwanja au Ramani? Haya nimekuja kutatua tatizo lako
KIWANJA KINAUZWA, MAHALI GOBA,DAR ES SALAAM
Plot Specification
>kiwanja ni chapili kutoka barabarani
>Plot ipo mtaa ulio tulia na nimtaa wa kishua
>Plot inafikika kwa urahisi sana na barabara zake ziko vizuri
>kiwanja kina ukubwa wa Square meter, 1,200
>Hapo unaweza kujenga nyumba ya aina yoyote au Apartament za kutosha
👉Bei ya kiwanja ni million 160 ( Fixed price)
👉Kiwanja kina nyaraka zote, Hakina mgogoro
Service fee ya kuja kuona kiwanja ni 50k( italipwa mara moja tu mpaka utakapo pata kiwanja)
NB: Tunatoa michoro ya ujenzi kwa bei NAFUU sana, Pia tunatoa huduma ya ushauri wa ujenzi bure bila malipo yoyote, Kwa wateja wetu tu.
Kwa mawasiliano zaidi
+255692932076