Plot for sale at Goba, Dar Es Salaam


โผ๏ธPUNGUZO LA BEI SASA LIMEKUBALIKA
๐๐
SASA NI MILIONI 40 MAONGEZI YAPO USIJALI FIKA SITE ๐
NYUMBA INAUZWA MILIONI 40 MAONGEZI YAPO
GOBA TEGETA "A"
===================
BARABARA YA KUELEKEA NJIA NNE 4
โผ๏ธNDUGU WATEJA HII NYUMBA INAUZWA
BEI YA KUTUPA KABISA, MWENYEWE ANAJAMBO LAKE ANATAKA KULIMALIZA, HIVYO KIMFACHO MTU CHAKEโผ๏ธ
UKUBWA WA KIWANJA SQMT 900
UMBALI KUTOKA LAMI KM 1.2
SIFA ZA NYUMBA ๐๐
INA VYUMBA VITATU VYA KULALA KIMOJAWAPO MASTER BEDROOM SEBULE KUBWA JIKO STORE,๐HII YA FAMILIA ANAISHI YEYE.
PARTITION NYINGINE KUNA VYUMBA VINNE KIMOJA, KIMOJA, VYA WAPANGAJI WAMO WANAISHI.
UMEME UPO KUNA MITA MBILI, MOJA YA WAPANGAJI, NYINGINE YA MWENYE NYUMBA.
BARABARA INAFIKA HADI KWENYE NYUMBA
HUDUMA YA MAJI ๐ฐ BOMBA LIPO JIRANI NI KUVUTA TU.
KUONYESHWA SITE 30,000/=
=================
CALL 0683234124
0718367179