Plot for sale at Goba, Dar Es Salaam
PLOT FOR SALE (KIWANJA KINAUZWA): GOBA
AGENT: KINGDOM PROPERTIES GROUP
DATE LISTED: 23/05/2024
PLOTS LOCATION: GOBA KONTENA
PRICE: 63 Million (NEGOTIABLE/MAONGEZI YAPO)
PLOT SIZE : 900 SQM
PLOT DETAILS
i) Eneo lipo goba kontena
ii) Kutoka barabara ya goba ni kama dakika 4 kwa pikipiki mpaka kwenye kiwanja
iii) Maji na Umeme vipo kwenye eneo
iv) Eneo linapatikana kwenye mtaa mzuri uliopangika vizuri
DOCUMENTS: Barua safi kutoka serikali za mtaa.
NB: -Ukinunua kiwanja utasaidiwa kupata hati na kampuni.
Site visite : 50000
CONTACTS
Office: Bunju A
Mobile: 0683702330, 065 715 9979
Email: kingdompropertiesgrouplimited@gmail.com