Plot for sale at Goba, Dar Es Salaam


Kiwanja kinauzwa kipo katikati ya Goba na Salasala,,
Njia rahisi ukiwa unatokea salasala mwisho wa lami ni mita chache tu baada ya kuvuka daraja kama unaelekea marobo
Ukubwa wa kiwanja ni Sqm 4800
Kimezungushiwa fensi pande zote na kipo tambarare kabisa,,
Bei ni 150m maongez yapo
Sevchage 30000 kwenda kutembea saity
MAWASILIANO 0656623510
WSP 0752436347