Plot for sale at Goba, Dar Es Salaam
Nyumba 4 za Apartments ndani ya fensi Moja yenye Geti ziko Goba jirani na Makongo. Umbali wa Meter 700 Toka Barabara ya Lami
Ukubwa wa Kiwanja SQM 840. Kina hati jina la muuzaji.
Kila Appartment Ina vyumba 2 vya kulala ambavyo
ni self contained, Sebule, Jiko na choo cha wageni. Km. 2 kutoka barabara ya Lami Mti Pesa. Km 7 kutoka Mlimani City. Maji yapo muda wote. Nyumba zote zina wapangaji.
*BEI Tshs 300ml*
Wapangaji na wanalipa 400,000 kwa mwezi
#call 0716501815
___________