Plot for sale at Heka, Singida


HEKA 25 ZIPO BANDARI KAVU VIGWAZA KWALA ZINAUZWA
HEKA 25 ZINAGUSA BARABARA KUU YA ZEGE ITOKAYO VIGWAZA KWALA
KWALA NDIO ILIPO BANDARI KAVU VIGWAZA KWALA
BANDARI TAYARI IMEKWISHA ANZA KAZI
UKIANGARIA HIZO PICHA UTAONA HIZO SEMI ZIMEPAKI TAYARI KWA KUPAKIA KUELEKEA CONGO
KILA HEKA MOJA BEI MIL 30
👉 PIA ZIPO HEKA 4 KILA HEKA MOJA BEI MIL 32 ZINAGUSA BARABARA KUU YA ZEGE ITOKAYO VIGWAZA KWALA KM 3 TOKA MORO ROAD MIZANI
PIA ZIPO HEKA 10 KILA HEKA MOJA BEI MIL 60 ZIPO PEMBENI YA BANDARI KAVU VIGWAZA KWALA HAPO
PIA ZIPO HEKA 10 KILA HEKA MOJA BEI MIL 20 PEMBENI YA ENEO LA VIWANDA 300 VYA WACHINA
PIA KUNA HEKA 15 ZIPO KARIBU SANA NA MAENEO YA MAMA SAMIA RAIS WETU WA TANZANIA ALIPOWAPA ZAMBIA UGANDA WAJENGE BANDARI WASAFIRISHIE MIZIGO YAO
WADAU KARIBUNI SANA KWALA KWA MAENEO YA KUJENGA VIWANDA YARD GEREJI NA MENGINEYO
KARIBU SANA MTEJA WAHI UTOE OFFA TUKUHUDUMIE BANDARI IMEFUNGULIWA
call/WhatsApp 0745488000