Plot for sale at Isamilo, Mwanza
KIWANJA CHA KWANZA LAMI KINAUZWA ISAMILO
-ukubwa wa kiwanja ni 2359 SQM
-kina hati miliki mkononi
-panafaa kwa apartment, daycare, hotel,
-location nzuri sanaaaaa
-bei Mil 600
-maongezi yapo
-kiwanja cha kwenye kona
# 0743220097