Plot for sale at Iyumbu, Dodoma


KIWANJA KINA FENSI UPANDE MMOJA KINAUZWA IYUMBU NATIONAL HOUSING JIJINI DODOMA
Eneo ukubwa ni 636 sq.m
Kina fensi upande mmoja
Maji/umeme upo
Kinafaa kwa MAKAZI
Kipo kilometre moja toka LAMI
BEI ni Tshs. 16,500,000/= ( milioni kumi na sita na laki tano tu)
Mawasiliano;
Call # 0713 338141
WhatsApp # 0655 494700
Follow;
housing_real_estate_dodoma
housing_real_estate_dodoma
"MAISHA NI KIWANJA NA NYUMBA"