Plot for sale at Iyumbu, Dodoma


KIWANJA KINAUZWA IYUMBU KWA MWINYI JIJINI DODOMA
Eneo ukubwa ni 639 sq.m
Kina fensi pande mbili
Maji/Umeme upo
Eneo limejengeka
Kipo kilometre tatu toka lami
Bei ni Tshs. 15,500,000/= ( millioni kumi na tano na laki tano tu)
Mawasiliano;
Call # 0713 338141
WhatsApp # 0655 494700
Follow;
housing_real_estate_dodoma
housing_real_estate_dodoma
"MAISHA NI KIWANJA NA NYUMBA"