Plot for sale at Iyumbu, Dodoma
BEI NI 180M.
NAUZA NYUMBA HII NZURI MTAA WA IYUMBU SHULE YA MFANO MITER 80 KUFIKA ILIPO BARABARA KUU YA LAMI
———————————————————————————————
_ NYUMBA IPO IYUMBU KARIBU NA SHULE YA MFANO
_ INA ROOM3 ZOTE MASTER
_ SEBULE KUBWA
_ JIKO ZURI
_ DINING
_ STORE
_ COMMON TOILET
_ NYUMBA NI MPYA IMEKAMILIKA BADO GARDEN
_ NYUMBA IPO MITER 80 KUTOKA LAMI YA IHUMWA
_ NYUMBA INA KIWANJA CHENYE UKUBWA WA SQM 713
_ NYUMBA INA FULL DOCUMENT YA TITLE DEED
_ IMEJENGWA KWA KUZINGATIWA VIGEZO BORA VYA UJENZI WA KISASA NA WENYE KUDUMU KWAMUDA MREFU
_ BEI 180m
———————————————————————————————
_ CALL 0744783149 / WHATSAPP / TEXT
_ WOTE MNAKARIBISHWA WAHI SASA TUWEKEZE DODOMA