Plot for sale at Iyumbu, Dodoma


KIWANJA KINAUZWA IYUMBU EXTENSION JIJINI DODOMA
Mahali; Iyumbu EXTENSION
Eneo ukubwa; 817 sq.m
Sifa; kinatazama barabara kbwa yakwenda kwa VENNY
Kina fensi upande mmoja
Eneo limejengeka
Maji/Umeme upo
Kipo sehemu nzuri
Bei; 30,000,000/= ( milioni thelasini tu)
Mawasiliano;
Call # 0713 338141
WhatsApp # 0655 494700
Follow;
housing_real_estate_dodoma
housing_real_estate_dodoma
"MAISHA NI KIWANJA NA NYUMBA"