Plot for sale at Iyumbu, Dodoma


KIWANJA KINAUZWA IYUMBU WEST BLOCK E JIJINI DODOMA
Eneo ukubwa ni 410 sq.m
Kina HATI
Kipo dakika 4.kutoka lami
Maji/Umeme upo
Kinafaa kwa MAKAZI
BEI ni Tshs. 21,000,000/= ( milioni ishirini na moja tu)
Mawasiliano;
Call # 0713 338141
WhatsApp # 0655 494700
Follow;
housing_real_estate_dodoma
housing_real_estate_dodoma
"MAISHA NI KIWANJA NA NYUMBA"