Plot for sale at Kati, Arusha


Haya sasa mshindwe wenyewe kwa wale walio tayari kumiliki nyumba zao mzigo mpya huu hapaa
Sasa hii nyumba inauzwa ipo Kati kati ya kiserian na olkerian
Nyumba ni ya kisasa ina bedroom tatu sebule open kitchen safi ipo kwenye eneo lenye ukubwa wa 25/35
Bei ya hii nyumba na kila kitu ndani ni ml 130 ukija kwa maongezi ni sawa nyumba bado mpyaa karibu sana
Namba ni zile zile 0788464751/0762838280