Plot for sale at Kibada, Dar Es Salaam
PRIME PLOT FOR SALE /ENEO KUBWA LINAUZWA (nusu ekari)
📍LOCATION : KIBADA (kijichi way), KIGAMBONI
📌Eneo linagusa barabra tatu za mtaa
📌distance
-umbali ni km 13 tu kutoka darajani
-Pia kutoka ferry ni km 13
- mita 600 kutoka mainroad
📌Eneo linafaa kwa makazi, biashara , kujenga nyumba za kupangisha , garage & yard, shule & hospital nk
UKUBWA ; #
🖇️ENEO LINA UKUBWA WA SQM 2631
👉Dimensions (Mita 42 kwa mita 63) = Total Sqm 2631
Asking price : MILIONI 155 (negotiable)
Site vist : 20,000/Tsh payable once
INFO : +255629894547 or #0767894547☑️ (call /text /whatsapp)