Plot for sale at Kibada, Dar Es Salaam


HOUSE FOR SALE KIGAMBON KIBADA
Ina vyumba 7 vyumba 6 master,sebure 3, dinning,jiko kubwa, sehemu ya kusomea,stoo
Inafaa Kwa makazi au biashara
Ina gorofa 02,Ina msingi wa ghorofa 05
Garden unaweza ukafanya shughuri ya watu 300, parking ya kutosha.
Kiwanja sqm 1800 Tittle deed ina Hati miliki ya wizara
Bei USD 500,000/=
TZS 1,300,000,000/=