Plot for sale at Kibaha, Pwani


Eneo lenye ukubwa wa hekta 2.3 linauzwa Kibaha-picha ya ndege karibu kabisa na stand mpya ya Mabasi Kibaha. Eneo limepimwa kwa matumizi ya Taasisi au Uwekezaji wa Viwanda au Mradi wowote wa Biashara. Asking Price ni 680M tuu. 0766961283 kwa mawasiliano zaidi.