Plot for sale at Kibaha, Pwani


PLOT NZURI SANA INAUZWA
PLOT IPO KIBAHA
KATIKATI YA MISUGUSUGU NA VISIGA
PLOT INA UKUBWA WA HEKA 4 KAMILI
NDANI KUNA MIEMBE,MINAZI NA MICHUNGWA.
ANA TITLE DID
MMILIKI NI MMOJA
NZURI KWA MATUMIZI YA ICD,KIWANDA,SHELI NK
UKITOKEA DAR KAMA UNAELEKEA MLANDIZI IPO KULIA UKIWA UNAKUJA MJINI IPO KUSHOTO
PLOT IMEGUSA MOROGORO RD
BEI NI NZURI SANA
Tsh ml 850 MAONGEZI KIDOGO
call wasap
0714592413