Plot for sale at Kibaha, Pwani


KIWANJA KIPO KIBAHA MAILI MOJA MTAAA UNAITWA LULANZI
KIWANJA KINA UKUBWA WA SQMT 1411
KIWANJA KIMEPIMWA NA KINA HATI MILIKI YA MAKAZI
Bei Million 55 ( Maongezi yapo fika site)
KIWANJA KIPO UMBALI WA MITA 700 KUTOKA MOROGORO ROAD
HUDUMA ZOTE ZA MSINGI ZA KIJAMII ZIPO
Service charge 30,000/=
Kwa maelezo zaidi piga :---
0712528820
0685221354
Mr.