Plot for sale at Kibaha, Pwani


KIBAHA PANGANI NI WAPI????
💎Ukiwa unatokea Maili moja, kabla hujafika stand ya ma-bus ya KIBAHA, kuna lami inaingia kulia unaenda na iyo lami umbali wa 3km then unaingia kushoto unaacha lami, umbali wa 1.5km hadi kuufikia mradi
🌸Cash : 15,000 kwa sqm
🌸Installment : 17,000 kwa sqm , anza na 50% halafu 50% lipia ndani ya miezi 6, sio lazima ulipe kila mwezi
☎️0659540265 / 0715354943 wasiliana na sisi tukupeleke site kila siku
📍IPS BUILDING, gorofa ya 5, POSTA