Plot for sale at Kibaha, Pwani
Nyumba inauzwa kibaha
Miembe saba
Nyumba kubwa ina Vyumba viwili
Jiko sebure Kubwa nachoo
pia nje kuna master moja
kama kotar,
ina mabanda yakuku
Yakutosha
eneo lina ukubwa wa 35X40
bei milioni60 mazungumzo yapo
Nyumba yakuahamia kabisa
umbali kutoka lami kilometer 3
kwamawasiliano
0716501815