Plot for sale at Kibaha, Pwani


NYUMBA NNE,KIWANJA SQM.4,000,TSHS.200 MILIONI,KIBAHA-KWAMATHIAS.
Hapa umbali wa kilomita 1.5 tu kutoka Barabara ya Morogoro.
Kiwanja KIMEPIMWA.
Eneo ni kubwa
Hili eneo unaweza kufanya Shughuli nyingine kama Nyumba ya Wageni, Shule ya Awali au Zahanani nk.
__________________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe MNUNUZI)
Tafadhali wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratatibu zangu.
+255 714 591 548
__________________mpg


















