Plot for sale at Kibaha, Pwani


Ukiangalia kwa mbali unaweza kuona Morogoro Road kwenye hii picha kwa wale mliosoma kitu kinaitwa Photograph Interpretation
Ndio,km1.2 toka hapo unapooona Barabara zimechongwa kwenda Morogoro Road! Ni karibu sana! Wikipedia ni shilingi z kitanzania shilingi 1000/= au unaweza kutembea tu kwa miguu hadi site.
Bei kwa square meter ni shilingi 11,000/= sawa na shilingi 4,400,000 kwa kiwanja chenye 400m² na unaweza kulipa kidogo kidogo ndani ya miezi 10.
Malipo ya Awali: 1,000,000/= kisha saini mkataba wako,alafu endelea na malipo ya kila mwezi.
Tupo Kibaha Misugusugu opposite Camel 🐫
Simu: 0763 172 814 au 0659 972 868