Plot for sale at Kibaha, Pwani


*Industrial plot ya Ekari 15 inauzwa Kibaha Misugusugu-Saeni*
*Distance* Kutoka lami ya Viwanda ambapo kipo Kiwanda cha Good One ni 1KM
*Location* Eneo liko nyuma ya Kiwanda cha Good One
-Eneo limesafishwa na tambarare
*Eneo linafaa kwa matumizi ya kiwanda*
-Plot size Ekari 15
-Document: Mkataba mauziano ya selikali za mitaa
*Bei shilingi milioni 35 kila Ekari*