Plot for sale at Kibaha, Pwani


KIWANJA CHENYE BANDA, SQM.1,500, TSHS.11 MILIONI, KIBAHA-MSUFINI.
Hapa ni umbali wa kilomita 4 kutoka Barabara ya Morogoro.
(Nauli Bodaboda ni Tshs.2,000)
Banda lililopo Lina vyumba vya kulala 2 na Lina Umeme tayari.
Kwa wale wa kufuga hapa ndio penyewe.
Ama tena wanaohitaji Makazi tulivu vilevile umefika.
____________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe MNUNUZI)
Tafadhali wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratatibu zangu.
+255 714 591 548
_____________mpg