Plot for sale at Kibamba, Dar Es Salaam
*KIWANJA CHENYE HATI KINAUZWA KIBAMBA KWA MANGI*
*PRICE _ MILLION 15*
*UKUBWA _ SQM 486*
*UMBALI _ KM 1.5* kutoka Barabara Kuu (Moro Road)
_ *Kiwanja kimepimwa na kina Hati MILIKI TITLE DEED*
_ *Umeme na Maji vipo Site hapohapo*
_ PANAFIKIKA njia safi Kwa aina yoyote ya Usafiri
_ Pamejengeka na Pako Karibu na Huduma zote za KIJAMII
_ Eneo ni Potential Kwa Makazi Binafsi au uwekezaji wa Apartment, Nyumba za wageni.
*SURVEY CHARGE NI ELFU 25*
SIMU
+255 684 88 14 29
+255 658 58 64 49
MSHATI