Plot for sale at Kibamba, Dar Es Salaam


NYUMBA NZURI SANA INAUZWA KIBAMBA KWA MANGI/HOSPITAL - DAR ES SALAM.
Ina Vyumba Vinne (4) Kimoja Master,Dinning, Sitting, Kitchen&Public Toilet
Umiliki: Hati Miliki (TITLE DEED)
Ukubwa Wa Eneo: SQM 1,000
Umbali: 1 Kilometres Kutoka Morogoro Road
Maji Ya Dawasco Na Umeme Vyote Vipo
Nyumba Iko Mtaa Mzuri Ndani Ya Fance
Nyumba Bado Mpya Kabisa Bado Vitu Vichache Tu Vya Kumalizia
Bei : 130 Million (Maongezi Yapo)
Gharama Za Kwenda Site Ni Tshs 30,000/=
0679447338