Plot for sale at Kibamba, Dar Es Salaam
NYUMBA NZURI SANA INAUZWA KIBAMBA KWA MANGI/HOSPITAL - DAR ES SALAM.
✅Ina Vyumba Vinne (4) Kimoja Master,Dinning, Sitting, Kitchen&Public Toilet
✅Umiliki: Hati Miliki (TITLE DEED)
✅Ukubwa Wa Eneo: SQM 1,000
✅Umbali: 1 Kilometres Kutoka Morogoro Road
✅Maji Ya Dawasco Na Umeme Vyote Vipo
✅Nyumba Iko Mtaa Mzuri Ndani Ya Fance
✅Nyumba Bado Mpya Kabisa Bado Vitu Vichache Tu Vya Kumalizia
Bei : 130 Million (Maongezi Yapo)
Gharama Za Kwenda Site Ni Tshs 30,000/=
☎️0625637254 ☎️0788077337