Plot for sale at Kibamba, Dar Es Salaam
BONGE LA JUMBA LINAUZWA KIBAMBA MTAA WA HONDOGO
NYUMBA NI ANDERGROUND
NYUMBA INA VYUMBA V6 SEBULE MBILI
ENEO SQM 500
BEI MIL 120
AWALI KILIKUWA MIL 200
NA SASA IMESHUKA BEI
KM 2 TOKA BARABARA KUU ILOWEKWA LAMI
MTAA WA KISHUWAA SANA
HII NYUMBA IMEJENGWA KWA MFUMO WA WALE MAKAMPUNI YA UJENZI
HII NYUMBA NIKIKWAMBIA NITAFUTIE KLEKI UTAKESHA
NYUMBA NI YA VYUMBA V6 MASTER 1 TU
BEI KARIBU NA BULE
PAMEPIMWA BICONI TAYALI ZIMEPANDWA BADO HATI
UKIFIKA HAPA HUTOKI
MIL 120 TOP
MAJIRANI KAMA UNAVYO WAONA WAHATALI MIJENGO KAMA YOTE
KARIBU SANA MTEJA
PiGA : 0685828285