Plot for sale at Kibamba, Dar Es Salaam


BANDA LA VYUMBA 3, KIWANJA SQM.400, TSHS.12 MILIONI,MPIJI-DARAJA LA JESHI.
Hapa kwa Bodaboda kutoka KIBAMBA CHAMA ni Tshs.1,500.
Banda lina vyumba 3 (masta 1)
Pia na Sebule, Jiko,Choo.
Huduma muhimu zipo.
_____________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe MNUNUZI)
Tafadhali wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratatibu zangu.
+255 714 591 548
____________mpg