Plot for sale at Kigamboni, Dar Es Salaam


0762505211
*Nyumba inauzwa KIGAMBONI-Mji Mwema KIBUGUMO*
-Nyumba ina vyumba V3 vya kulala vyote ni master bedrooms, kitchen ndani na nje, dinning room, living room, public toilet ndani na nje.
-Electrical fence, Garden na kibanda cha kupumzikia.
-Plot size Sqm 720
-Surveyed Hati bado
*Bei shilingi milioni 120 maongezi yapo