Plot for sale at Kigamboni, Dar Es Salaam
Vyumba vitatu kimoja Master sitting room dining room jiko stoo na public toilet nyuma Kuna nyumba ya vyumba vitatu viwili masters na public toilet plot Ina sqm 695 Ina hati miliki ya wizara Kona plot bei 200m maogez yapo Nipigie 0686 705 903 07599 43865
LOCATION KIGAMBONI KISOTA