Plot for sale at Kigamboni, Dar Es Salaam


Plot For sale Kigamboni geza
*ukubwa ni square meter 600
*Plot ina Hati ya wizara
*Plot ndani ina pagare la vyumba vitatu kama unavyo ona hapo
*Mita chache mpka barabara kuu
*Umbali kwa kutokea Ferry au Darajani ni km 11
*Bei milioni 35 tu
*Kwa mawasiliano zaidi tupigie ☎️📲 0753999903