Plot for sale at Kigamboni, Dar Es Salaam


*Nyumba 4 kwenye compound moja zinauzwa Kigamboni-Kibada*
*Distance* Kutoka main road ni Meter 600
-Kila nyumba ina vyumba 3 vya kulala, kimoja master, vyumba viwili vina share choo kimoja, public toilet, dinning room, sitting room na jiko.
-Ukubwa wa kila nyumba ni Sqm 150
-Nyumba imefungwa CCTV Camera
-Kuna fence ya umeme na Kisima cha maji
-Plot size Sqm 1,340
787 939 898
-Title Deed
*Bei shilingi milioni 700 maongezi yapo*