Plot for sale at Kigamboni, Dar Es Salaam


#0756_916118
__________________
Beach Houses for sale Nyumba zina uzwa zipo Beach โฑ ๐ . Zipo mbili kwa pamoja Kigamboni opposite Mikadi Beach Kigamboni, 1 Kilometer kutoka ferry โฑ ๐ฏ๐ฏ๐ฏ๐ฏ
1) Zina full documents hati kamili
2) Kila nyumba mmoja ina ukubwa wa square meters 510ร2 = 1020 square meters.
3) Nyumba mmoja inavyumba 13 chumba, jiko , choo.
Nyumba nyengine ina vyumba 14 chumba , jiko ,choo.
4) Kila nyumba zinajitegemea umeme wake pamoja na maji yake pamoja na parking zake za gari kubwa
5) Nyumba zipo barabarani kabisa zina tizaman barabara
6) Nyumba zina full security yakutosha
7) Nyumba zipo opposite na beach ya Mikadi Beach Kigamboni
8) Kutoka ferry mpaka kwenye hizi nyumba ni dakika 5 mpaka 7 kilometer 1 tu .
9) Zipo mtaa wa Kishua kabisa mtaa wenyewe usalama na majirani waliojenga mijengo hatari.
10) Nyumba zina wapangaji full zote mbili hamna chumba kitupu.
11) Nyumba zipo Beach Plot B .
12) BEI MILLION 500 KWA ZOTE MBILI MAELEZO AU MAONGEZI YAPO BEI INAPUNGUA.
KARIBU SANA ๐๐๐๐
______
TUWASILIANE
#0756_916118
#whatsaapp_no_0756916118
dalali_sam_bahari_beach_tz
neryasilayo
dalali_tegeta_kipara
dalali_tajiri_tegeta0756916118
dalalicirilo
dalali_kigamboni_27
dalali_lyimo_tegeta_boko_bunju dalali_wa_kuuza_nyumba_viwanja dalalimwembamba_mbweni
dalalimtembeztz_baharibeach