Plot for sale at Kigamboni, Dar Es Salaam


HABARI NJEMA - KIGAMBONI
MRADI WETU UPO KIGAMBONI MJIMWEMA (SHANGWE)
UMBALI—mita 700-KUTOKA BARABARA KUU YA LAMI
-na UMBALI WA 7km kutoka FERRY
ENEO LIMEPIMWA KUANZIA UKUBWA WA SQM 400
KILA SQM INAUZWA TSH 35,000
KWA MAANA TSH MILION 14 KWA KILA PLOTS YA UKUBWA WA SQM 400
MTEJA ANARUHUSIWA KULIPA KWA CASH/MKOPO
KWA MKOPO MTEJA ATARUHUSIWA KULIPA KWA MDA WA MIEZI MINNE AKIANZA NA ASILIMIA 50% YA BEI YA KIWANJA
KATIKA MKOPO HAKUITAJIKI RIBA WALA DHAMANA KWA MTEJA(tunakuamini)
MTEJA ATAPEWA KIBALI CHA UJENZI NA KUPATIWA HATI YAKE YA ENEO ENDAPO TU ATAKAMILISHA MALIPO KWA ASILIMIA 100%
KWA MAELEZO ZAIDI FIKA KATIKA OFFICE ZETU ZILIZOPO
-Kijitonyama science,KARIBU NA kanisa la KKKT.
AU WASILIANA NASI KUPITIA
-0710214021 au
-0758197500
#climax inakupa furaha ulioingojea muda mrefu.